Nina haja nawe
Tenzi za rohoni ( #11 ) , Nyimbo standard ( #316 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Nina haja nawe kila saa; hawezi mwingine kunifaa.
Yesu, nakuhitaji vivyo kila saa! Niwezeshe, mwokozi, nakujia.
Nina haja nawe; kaa nami, na maonjo haya, hayaumi.
Nina haja nawe; kila hali, maisha ni bure, uli mbali.
Nina haja nawe; nifundishe na ahadi zako, zifikishe.
Nina haja nawe; mweza yote, ni wako kabisa siku zote.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook