Amkeni Upesi
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
Amkeni upesi wachunga
kondoo!
Malaika washuka,
habari watupa:
Furaha karibu,
Mwokozi aja!
Wachungaji njooni,
tumtafuteni!
Akiwa zizini pigeni
filimbi.
Furaha karibu...
Wachungaji hima washika
njia.
Pamoja wamwona
mamaye, babaye.
Furaha karibu...
Wamjua upesi mtoto wa
mbingu.
Wapiga magoti
kumwimbia nyimbo.
Furaha karibu...


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook