Sauti Yake Mchungaji
Nyimbo za Kristo ( #193 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Sauti ya Mchungaji, ninasikia jangwani,
Kondoo waliopotea anwaita warudi.
Leteni, leteni, leteni toka dhambini;
Leteni, leteni, waleteni kwa Yesu.
Nani atakeyekwenda amsaidie Mchungaji,
Awarudishe zizini, wasife bure gizani?
Usikose kusikis sauti ya Mchungaji,
“Kondoo waliopotea nwnda na kuwatafuta.”


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook