Malaika Njooni Toka Juu
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
Malaika njooni toka juu!
Oye, oye, tazama,
tazama kitoto.
Imbeni, pigeni panda.
Haleluya! Haleluya!
Nyimbo za Yesu na Maria!
Kwa sauti kuu
mwimbieni!
Oye, Oye, tazama,
tazama kitoto.
Kwa vinanda na vinubi.
Haleluya! Haleluya!
Nyimbo zaYesu na Maria!
Tungeni Nyimbo tamu
mno,
Oye, oye,tazama,
tazama kitoto
kupita ndege wa anga.
Haleluya! Haleluya!
Nyimbo za Yesu na Maria!
Utamu wa nyimbo zenu,
Oye, oye, tazama,
tazama kitoto,
umbembeleze, alale.
Haleluya! Haleluya!
Nyimbo za Yesu na Maria!
Watu na watengamane,
Oye, oye, tazama,
tazama kitoto,
na Mungu tumpe
shukrani!
Haleluya! Haleluya!
Nyimbo za Yesu na Maria


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook