Mwana Kondoo wa Mungu Waiondoa Dhambi
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
Mwana Kondoo wa Mungu
waiondoa dhambi;
tuhurumie.
Mwana Kondoo wa Mungu
waiondoa dhambi;
tuhurumie.
Mwana Kondoo wa Mungu
waiondoa dhambi;
Ututulize. Amen.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook