Ni mji Mzuri
Tenzi za rohoni ( #126 ) , Nyimbo standard ( #195 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Ni mji mzuri, mbali sana; kama jua waimba kwa tamu, tuna wema hakimu: Sifa na idumu, kwake Bwana.
Ni mji mzuri, twende sote! Msikawe! Raha tutaona, dhambi hapana tena; hatutaachana siku zote.
Ni mji mzuri; macho yote huko wanawiri kama pete; Baba tutamwona, tukifanywa tu wana; tumo kupendana naye sote.
Ni mji mzuri; tusipotee, na tuwe hodari, tuupate! Tufunze, tutume kwa taji na ufalme: sifa na zivume siku zote.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook