Nipe biblia
Give me the Bible
Nyimbo za Kristo ( #52 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Nipe Biblia nyota ya furaha wapate nuru wasafirio
Hakuna la kuzuia amani Kwani Yesu alituokoa
Nipe Biblia neno takatifu Nuru yake itaniongoza
Sheria na ahadi na upendo Hata mwisho vitaendelea
Nipe Biblia nihuzinikapo ikinijaza moyoni dhambi
Nipe neno zuri la Bwana Yesu Nimwone Yesu Mwokozi wangu
Nipe Biblia nipate kuona hatari zilizo duniani
Nuru ya neno lake Bwana Yesu Itaangaza njia ya kweli
Nipe Biblia taa ya maisha Mfaririji tunapofiliwa
Unionyeshe taa ya mbinguni Nione utukufu wa Bwana.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook