Tushangilie Sote
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
K:Tushangilie sote
W:Kila mtu

K:Mwana wa Mugnu
akaja
W:Hata kwetu.

K:TUmjue Mungu Baba
W:Wahuruma

K:Usiku wa manane
W:Shangwe kubwa

K:Alipozaliwa Kristo
W:awe mfalme.

K:Pale katika mji
W:Wa Daudi

K:Kwenye kondoo hata
ng'ombe
W:Bthlehemu.

K:Na akaitwa kwa jina
W:La ajabu.

K:Nalo Yesu Mwokozi
W:Mungu nasi.

K:Hakika ni mwokozi
W:Mwenye enzi

K:Tupatiwe Uzima
W:Wa milele

K:Na kumtumikia daima
W:Siku zote

K:Mana kwake
sasa tumemuona
W:Mungu wetu

K:Na hivyo hata Roho
W:Mtakatifu

K:Njooni kwa hio
tumsifu
W:Bila mwisho.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook