Yesu Anaporudi
There’ll Be No Dark Valley
Nyimbo za Kristo ( #183 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Furaha na raha tutapata, Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.
Yesu anaporudi (rudi) Yesu anaporudi (rudi); Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za
shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za shangwe kuu Yesu anaporudi.
Hapana machozi arudipo, Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo, kwa wateule wake.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook