Amekuja Mwokozi
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
K: /:Amekuja
W: Mwokozi. :/
K: /:Ufalme wa juu
karibu.
W: Amekuja mwokozi.:/
K: /:Geukeni
W: mioyo. :/
K: /:Watatupwa
wenye kiburi.
W: Geukeni mioyo. :/
K: /: Shoka lipo
W: Shinani, :/
K: /:Mti usiozaa wakatwa.
W: Shoka lipo shinani. :/
K:/ Ana ungo W: mkononi, :/ K:/ kupepeta ngano yake. W: Ana ungo mkononi. :/
K:/ Yatachomwa W: Makapi, :/ K:/ Ngano yawekwa chanjani. W: Yatachomwa makapi :/
K:/Nabatiza W: kwa maji, :/ K: Yeye, hubatizwa kwa roho. W: Nabatiza kwa maji.:/
K: /:Mbele yake sifai, :/ W: Sifai, :/ K: Kumfungulia viatu, W: Mbele yake sifai. :/
K: /: Elekea W: Mbinguni, :/ K: Kristo kutufanyia Njia. W: Ya kwendea mbinguni.:/


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook