Mwema ni Bwana Mbinguni
Lyrics kama ilivyo katika "Mwimbieni Bwana (Tumwabudu Mungu wetu)"
Mwema, mwema,
mwema ni Bwana
mbinguni, na Utengemano
kwa watu wanaompendeza,
kwa watu wanaompendeza.
Mwema ni Bwana mbinguni.
Mwema ni Bwana mbinguni,
nchi itengemane,
watu wapendezwe,
wote wakampandeza Bwana
Mwema, mwema,
mwema ni Bwana mbinguni
na utengemano
kwa watu wanaompendeza
kwa watu wanaompendeza!


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook