Moyoni
Into My Heart
Nyimbo za Kikristo ( #211 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kikristo"
Moyoni, moyoni; Ingia moyoni, Yesu.
Njoo leo, njoo kukaa, Ingia moyoni Bwana.
Moyoni, moyoni, Angaza moyoni Yesu,
Ng'aa leo siku zote, Angaza moyoni Bwana.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook