Hunipenda pia
Nyimbo za Kristo ( #201 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Mungu huona videge wanaoanguka;
Akiwapenda videge, vile hunipenda.
Hunipenda, hunipenda, hunipenda pia;
Najua ananipenda niliye mdogo.
Rangi ya namna nzuri hupamba maua:
Akiyapenda maua, vile hunipenda.
Mungu aliyeviumba videge, maua,
Hatasahau watoto, kweli huwapenda.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook