Ni wako Mungu!
Tenzi za rohoni ( #133 ) , Nyimbo standard ( #521 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua mwokozi wangu. Aleluya enzi ndako; Aleluya,Amin. Aleluya,enzi ndako; Rejea Yesu.
Mwana wa Mungu Ndiye fungu langu, Na moyo hufurahi kwa Yesu wangu.
Raha ya kweli Ina jina hili, Na aliyeshika,ana Mbingu kweli.
Nimeingia Mapendano haya, Nimepata uzima na Mbingu pia.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook