Mungu awe Nanyi Daima
Tenzi za rohoni ( #106 ) , Nyimbo standard ( #529 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Mungu awe nanyi daima, hata twonane ya pili, awachunge kwa fadhili, Mungu awe nanyi daima.
Hata twonane huko juu, hata twonane kwake kwema; Hata twonane huko juu, Mungu awe nanyi daima.
Mungu awe nanyi daima; Ziwafunike mbawaze, awalishe, awakuze; Mungu awe nanyi daima.
Mungu awe nanyi daima; Kila wakati wa shani, awalinde hifadhini; Mungu awe nanyi daima.
Mungu awe nanyi daima; awabarikie sana, awapasulie kina; Mungu awe nanyi daima.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook