Nani Afanya Maua
Who Makes The Flowers
Nyimbo za Kristo ( #207 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Nani ayafanya maua, maua,
Nani ayafanya—Mungu juu.
Nani apambaye machweo, machweo,
Nani ayapamba—Ni Mungu.
Nani afanya theluji, theluji,
Nani aifanya—ni Mungu.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook