Kivulini mwa Yesu
Tenzi za rohoni ( #42 ) , Nyimbo standard ( #245 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Kivulini mwa Yesu kuna Kituo; Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu.
Kivulini mwa Yesu kuna kituo; kivulini mwa Yesu kuna kituo; Raha tu, mle; amani tupu, furaha tele; kivulini mwa Yesu, Raha tu, mle; amani tupu, furaha tele; kivulini mwa Yesu.
Kivulini mwa Yesu, nina amani, iliyopita fahamu, tena itakayodumu.
Kivulini mwa Yesu, nina furaha; Furaha yenye fahari,ya kueneza habari.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook