Tumrudie Bwana
Tenzi za rohoni ( #100 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Mbona washangaa njiani? Mbona warejea nyuma? Warudi tena gizani, alimokutoa Bwana?
Ni ya bure yote haya, uliyofunzwa ya Mungu? Ni bure amekufia, Bwana Yesu kwa uchungu?
Wamtia kristo aibu, na maneno yake pia? Siku yaja ya hesabu, utamjibuje Bwana?
Upandapo tena hayo, halafu utayavuna. Rudi kwa Bwana upesi, mwombe akupokee tena.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook