Liko lango Moja wazi
Tenzi za rohoni ( #121 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Liko lango moja wazi, ni lango la mbinguni; Na wote waingiao watapata nafasi.
Yesu ndiye lango hili, hata sasa ni wazi, Kwa wakubwa na wadogo, tajiri na maskini.
Hili ni lango la raha,ni lango la rehema; Kila mtu apitaye hana majonzi tena.
Tukipita lango hili tutatua mizigo, tuliochukua kwanza, tutavikwa uzima.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook