Kaza sana macho
Nyimbo za Kristo ( #198 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kristo"
Nilinawa mikono safi asubuhi, Itende kazi kutwa kwa Yesu
Yesu Mwokozi.
Kaza sana macho njiani kote, Utende kwa Yesu kazi njema tu.
Natega masikio nitambue wasaa,
Mikono na itende upole daima.
Macho yangu yachunga mikono kazini;
Ilindwe maovuni impendeze Yesu.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook