Yesu zamani Bethrehemu
Tenzi za rohoni ( #73 ) , Nyimbo standard ( #156 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Tenzi za rohoni"
Yesu zama Bethilehemu, aliyezaliwa kwa aibu, ndiye mwakozi wa ulimwengu, akaja kwa mimi.
Akaja kwa mimi; akaja kwa mimi; ndiye mwaokozi wa ulimwengu, akaja kwa mimi.
Yesu akafa msalabani, kuniponya akalipa deni, ni la ajabu ya jinsi gani, kunifia mimi!
Ni yeye huyo tangu asili; na nilipotanga-tanga mbali, alikuja kwa upole, kweli kuniita mimi.
Yesu kristo atarudi tena, hilo lanifurahisha sana. yeye Bwana akionekana, kunijia mimi.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook