Sikia Mlio
Hear the Pennies Dropping
Nyimbo za Kikristo ( #202 ) ,
Lyrics kama ilivyo katika "Nyimbo za Kikristo"
Sikia mlio! Pesa koponi
Zinalialia—zote kwa Yesu.
Kuanguka kuanguka pesa koponi,
Kila moja kwako, Yesu zipokee.
Huanguka pesa toka mikononi:
Sadaka kwa Yesu ya kundi dogo.
Ulio wadogo tuna haba tu;
Tuishapo kuwa Pendo 'tazidi
Wenye mali chache tumpe moyo;
Kwa furaha tupu atakubali.


Like Tenzi Za Rohoni page on Facebook